Baada ya umeme kukatika tuu, dakika moja baadae kimya kimya kitu kikafungwa alafu bado dakika 30 tuu assingment inakusanywa yani, jamaa kabaki anaangalia kwenye generator kama kuna mtu anaenda kuwasha akiwa amenyong'onyea kama ka puppy kamemwagiwa maji ya baridi! Acha tuu !





