Have an account?
Posted by ittakerz on Wednesday, March 23, 2011 in

TELL US HOW YOUR HOLIDAY WAS !! DID YOU HAVE FUN, OR DID IT TURN THE OTHER WAY ROUND?
Ni two weeks, siku 14, ni kidogo lakini ni nyingi vilevile.. Kuna walioboreka, kuna walio enjoy sana mpaka hawataki kurudi chuo mpaka kati kati ya semester ndio watarudi na kuna waliokua wanabanwa mpaka waka miss chuo kiasi kwamba, walirudi ata kabla chuo hakijafunguliwa.